Thursday, July 30, 2009

UKIMYA WA RAJU


Mwanamuziki wa muziki wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flaver) nchini Rashidi Juma aka Raju amesema mashabiki wake amshanagae kuwa kimya kwani anajipanga kurudi upya.
Raju aliyasema hayo wiki moja iliyopita nilipomtembelea nyumbani kwake Gongo la Mboto wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam.
Kutokana na ukimya aliyokuwa Raju amekiri kuwepo kwa maswali mengi juu yake kutoka kwa wapenzi wake wa muziki baada ya kukaa kimya kwa muda murefu.
Hivi sasa anadi ameamua kwanza kisimamisha shughuli zake za kimuziki kwani amemeamua kusimamia kazi zake zingine kwanza ili kuyapanga vyema maisha yake kwani kuutegemea muziki tu katika maisha kwa wasanii wa kitanzania nisuala gumu.
Aidha Raju amesema mpaka hisasa tayari amekwisha tayarisha baadhi ya nyimbo kadhaa na anatarajia kuanza mazoezi hivi karibuni ili aweze kukata kiu ya wepenzi wake wa muziki na anatarajia kufanyia video wimbo wake unakwenda kwa jina la Khalidi"alisema.

1 comment:

  1. I like people to be iterested with information all over the world.

    Communication is a means people to communicat becouse it enable people to an share idears,the increase of knowlege,yhe increase of efficience etc

    ReplyDelete